Monday, November 26, 2012

KUTOKA COMEDIAN MPAKA KUKUBALIKA KATIAK FANI YA MUZIKI NA KUFANYA VIZURI R.I.P SHARO MILLIONEA. HATUA KWA HATUA MPAKA UMAUTI UNAMKUTA

 






 

Mwili wa Sharo Millionea
Taarifa kuhusu kifo cha Msanii wa maigizo na Mziki wa Bongo fleva kufariki zimasamba nchi nzima masaa machache yaliopita.

Kwa mujibu wa Sam Misago.Com ni kwamba amepata uthibitisho kutoka kwa diwani Makame Seif ambaye ni rafiki yake wa karibu sana wa Marehemu Hussen Ramadhani Mkiete maarufu kama Sharo Millionea amepata ajali mida ya saa mbili eneo la maguzoni Tanga na amefariki dunia papo hapo. Polisi wametambua ni Sharo Millionea kwa vitambulisho vyake na picha moja ya passport aliokuwa nayo mfukoni ambavyo kwa sasa viko na polisi.

ATUPO NAE TENA KIPENZI CHA LIKA ZOTE, HASWA KWA KUTUONGEZEA USEMI WA "MEN"... KWA KILA NENO LAZIMA UWEKE "MEN" HATA KAMA ALITAKIWI, TULIKUPENDA SANA SHARO ILA MUNGU KAKUPENDA ZAID

No comments:

Post a Comment