Friday, November 9, 2012

MAMBO YA KUGANDIANA HAYA




 polisi wakituliza Tukio eneo husika baada ya umati wa watu






 Milioni 5 za kitanzania zinahitajika ili kuwanusuru watu wawili walionasiana wakivunja amri sita.

Watu wawili wakazi wa jijini Dar  wanadaiwa kukutwa wakiwa wamenasana wakati wakifanya tendo maalum la watu walio katika mahusiano (mke na mume) na kwakua wao sio mke na mume halali wamenasiana.

Mume wa mwanake ambae amefikwa na maswaibu hayo ya mwaka jijini Dar anahitaji kiasi hicho cha fedha ili atoe CODE ya pin hiyo kali aliuyoiweka katika eneo takatifu la unyumba wao.

 Taarifa za awali kutoka Temeke zinapasha kuwa wawili hao wapo katika hospitali ya Temeke jijini Dar es Salaam kwa unasuaji ambao wadadisi wa mambo hasa ya kijamii wanadai Hospitali hawataweza kuwanasua isipokuwa kwa wataalm wa jadi hasa Mume wa Mwenye mke ambaye aliwekewa tego. 
SIO E-MAIL TU SIKU HIZI HADI WATU WANA PASSWORD INGIA AFU USAHAU, UTAJUTA

get more: http://www.mwanahabariuswazi.blogspot.com/2012/11/part-1-jinsi-wapenzi-walivyogandana.html

No comments:

Post a Comment