Thursday, November 29, 2012

PICHA 5 MATUKIO YALIO JIRI KWENYE MAZISHI YA SHARO

 MAMA YAKE SHARO AKILIA KWA UCHUNGU

 Sara zikiwa zinamuombea Ndg Sharo
 Sara za mwisho za kumuombea ndg yetu Sharo ktk makazi yake mapya
Nyumba ya milele atakayo enda kuwa nayo, Inauma sana
 Umati wa kipenzi cha sharo Millionea ukiwa makaburilini
Kaburi la marehem Sharo Millionea

No comments:

Post a Comment