Wednesday, November 28, 2012

SHARO KUZIKWA SAA 7 MCHANA HUU MUHEZA TANGA


 Marehemu Sharo Milionea anatarajiwa kuzikwa leo saa 7 mchana huu kijijini kwao muheza Tanga karibu na nyumba yao ndipo lilipochimbwa kaburi.

Dada zake marehemu wasema alikuwa anaihudumia familia yake kwa

kila kitu na wamesikitika sana maana ndiye alikuwa mtoto wa kiume pekee katika familia yao.

Pia hali ya Mzee majuto yatengemaa na anahudhuria msiba.


Viongozi wa serikali, wasanii wa filamu na muziki na wanakijiji wajitokeza kwa wingi katika msiba, vilio na majonzi vyatawala na sehemu kujaa hadi wengine kukosa sehemu ya kukaa.


Aliyekuwa Meneja wa marehemu Bw.HK ndio anaongoza ratiba ya mazishi na pia Bw.Jackson Mmbando waliyefanya naye kazi ya Airtel asema wamepoteza mtu muhimu sana.

No comments:

Post a Comment