Msanii Sharo Millionea Hussein Mkiety Sharo Millionea amefariki miezi saba baada ya cha Steven Kanumba. Mshangao ni wote wlikuwa ni watoto wa mwisho na kiume pekee katika familia zao . Pia wamekufa wakipishana kidogo kiumri, hawakuwahi kuoa au kuzaa mtoto na wamefariki kabla ya filamu walioigiza pamoja ya 'LOVE & POWER' haijatoka
THANK TO NIPASHE
Facebook comments for blogger brought to you by Eddie sucre?
No comments:
Post a Comment