Thursday, August 9, 2012

KIM KARDASHIAN NA KANYE WEST KATIKA PROMO YA VMA 2012.




 Tuzo gani inayohappen sikuhizi bila ya kuwa na vichekesho ndani yake? tumeona hata kili mwaka huu walikuwa na Mpoki na ilienda poa sana, kwa wenzetu mara nyingi mkali wao Kevin Hart huwa anawakilisha.
na kwa wenzetu ukitaka publicity basi waalike Kim na Kanye.
Kevin, Kim na Kanye wameunganisha nguvu na kuwa  MTV VMA’s hottest new couple; KEVKIMYE au ‘KKK’ katika promo mpya kwa ajili ya show hiyo  ambayo inatarajiwa kufanyika tarehe 6 mwezi wa tisa in a new promo for the show which is scheduled to air on September 6th. Or actually, the hottest new couple thing may be just a figment of Kevin Hart’s imagination.
 Mwaka huu Kanye West anashindania Best Hip – Hop Video  na Best Editing na “Mercy” Best Direction na Best Hip – Hop Video na ngoma ya “Ortis” akiwa na Jay – z na Best Editing akiwa na “Paris” akiwa na Jay – Z tena.
cheki na promo hiyo,  hapo chini 

No comments:

Post a Comment