Friday, October 26, 2012

DJ CHOKA AFUNGUKA KUTOKANA NA UZUSHI UNAOTAKA KUMUARIBIA NDOA

Dj Choka


"Naomba kusema hivi, kuna msichana anayejiita AMANDA GREEN humu Facebook ananichafulia sana na anaonyesha anatuma picha chafu kwa msichana niliyeachana nae ambaye anaitwa
KENZO na kumwambia yeye ni msichana wangu so huyo Kenzo aachane na mimi na anazidi kutuma hizo picha chafu kwa watu ili nionekane mimi ndio ninazo hizo picha na nimempa huyo AMANDA ili awaonyeshe watu.
Haitoshi sijui kapata wapi namba ya mke wangu Mama Kijacho na amemtumia ujumbe kwenye simu yangu na kumwambia kuwa aachane na mimi eti mimi malaya na anataka kumtumia hizo picha chafu mke wangu.
Sasa cha ajabu nachoshangaa namba hii 0778 105 357 anayoitumia kutuma massage inakuwa haiko hewani na ukiipiga inasema Call Divert.



No comments:

Post a Comment